Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2012

    Mmmm mi maimuna hicho kiingerecha?Mjini shughuli!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2012

    watu hawatafuti refugee ila wanatafuta asylum -kwa issue ya kujilipua-mgongano wa lugha

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2012

    Huyu Gonga anaongea kwa swag hadi imepitliza..too artificial! Hawa jamaa walienda Europe wakiwa watu wazima, lakini utadhani wamejifunza kiswahili ukubwani. Wabongo kiboko!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2012

    I love all the comments esp....# 3..LMAO!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2012

    Mbona kiswahili chenyewe wanajifanya wamekisahau kulikoni? au ndo mbwembwe?
    hawana chochote walichokiongelea cha maana kwa watanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2012

    huyo anayataka mwenyewe! sasa acha watu waseme waliyonayo..na wanayo yaona! kaka umeshakua mkubwa ss inatosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...