'Meya' wa jiji la London Haruna Mbeyu (kati) akiwa na mpiganaji Ayoub Mzee (shoto) na mdau Jumbe
Ankal na Ze fulanazzzz na mpiganaji Ayoub Mzee na Mdau Jumbe jijini London

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2012

    Ze fulanazzzzz inapezenti kama zamani na sasazzzzzzzzzzzzz

    MC Kessy

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2012

    Ankal siku hizi na wewe hupigi tizi eh? Naona ze fulanazzz imekuwa tight.

    Karibu kwetu huku you will never walk alone.

    Mdau kutoka Anfield.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2012

    Haruna Mbeyu, unafanya nikumbuke enzi hizoooooo za shule ya msingi Mnazi Mmoja na kina MADENGE. Kila la kheri waheshmiwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2012

    Ankal chonde! chonde! mjomba Fulanazzzzzzzzzzz!!!! tusisikize heti
    wamefika bei,utatuona hatuna adabu,
    fulanazzz! Lazima itue bongo,
    wadau
    FFU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...