THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Ghosts of Kamuzu, Nyerere revisit Malawi, Tanzania: Cold war over Lake Malawi continues


Malawi: 2012, July: "But our terms are clear on this. According to the 1890 ecoland agreement between Britain and Germany, the border between Malawi and Tanzania is the edge of the waters of Lake Malawi. So we are very clear about that but we will continue to engage with Tanzania as a good neighbour," Patrick Kabambe,  Principal Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Malawi, quoted by Malawi’s Daily Times. 

Tanzania: 2012, July: “We don’t want Tanzanians to ask for permission from Malawi to fetch water or fish from Lake Nyasa. If we don’t reach a consensus, we will take recourse in international law.” Tanzania‘s Attorney General Judge Frederick Werema, responding to a concern from the Member of Parliament for Mbeya Region (special seats), Hilda Ngoye.

Ms Ngoye had charged that the Malawian tourists and fishing boats have been trespassing on Tanzanian territorial waters at will, escalating tensions.  

“Tanzanians around Lake Nyasa’s shores have the right to fish or engage in other productive activities on the lake, without being intimidated,” she had told the Tanzanian parliament, demanding an explanation from the government on the status of the border between Tanzania and Malawi.Kuna Maoni 11 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  These guys have restart old conflict, I remember this during Mwalim rergn(Administratin),You know the Mwl. decision on this issue, I remember that very well let me remind you, He stationed an Arteraly Just adjusent to the border, and he told the barren Kamuzu Banda the then President of Malawi who claimed to confisicate the whole of Mbinga District," just touch Mbamba-bay I will burn you and your unborn children if any into ashes", The barren Kamuzu Banda never touched it, So if they like it again, use the same Razor blade to scare them, they will never come back.

  Is me.
  Xavery komba from Mbinga.

 2. Anonymous Anasema:

  Mgogoro wa ziwa Malawi/Nyasa umekuwepo tokea Tanzania ipate uhuru wake na Nyerere akiwa kijana madarakani. Tatizo ni kuwa hatukuwa na hatuna kiongozi mwenye nia dhabiti ya kulifungia nyuga tatizo hilo. Zimekuwepo porojo tu kama desturi zetu watanzania bila matokeo. Nyerere alikuwa na wanasheria wakuu, mawaziri wa ardhi na wa mambo ya nje mbalimbali ambao wote walikuwa wanatupiana mipira mpaka wamestaafu, hakukuwa na yeyote wao aliyekuwa na nia dhabiti ya kulivalia njuga suala hilo na Nyerere hakuweka utatuzi wa mgogoro huo kama mojawapo ya kipimo cha ufanisi kazi wa viongozi hao. Serikari za Mwinyi (miaka 10), Mkapa (Miaka 10) na sasa Kikwete (miaka 10) pia wembe ni ule ule wa porojo na kusema aaaa bwana sisi majirani, hili suala tuliachie serikari inayokuja italishughulikia. Na wabunge wa Songea/Ruvuma nao toka enzi na enzi wao ni posho tu za bungeni. Kwa nchi nyingine hili ni suala kubwa tena linalomuhusu Raisi wa nchi moja kwa moja kwa kuwa linagusa mgogoro wa mpaka wa nchi yake na haki za wananchi wake, na sio suala la kuachiwa waziri au mwanasheria mkuu bila kuwajibishwa. Kudhibiti mipaka ya nchi ni kigezo kimojawapo kikuu cha upimaji wa ufanisi wa Raisin a serikari yake. Lakini hili si jipya ukiangalia desturi zetu watanzania za kubweteka na pia kutokujua thamani haswa ya ardhi yao.
  Ni miaka takribani 40 sasa tangu serikali ya Malawi itangaze kuwa ziwa lote la Nyasa ni mali yake kuanzia pale Songea/Ruzuma maji ya ziwa yanapokutana na ardhi (beach) na wamedhibitisha hivyo mara kwa mara kwa wanajeshi wa Malawi kukamata mitumbwi na ngalawa za wavuzi kutokea mkoani Songea/Ruvuma waokutwa wanavua samaki pembezoni mwa ziwa karibu na Songea/Ruvuma. Wana Songea/Ruzuma ambao kwa kiasi kikubwa wanategemea uvuvi wamekuwa wakishi kwa hofu. Uki – google utaona kuwa ramani nyingi za kwenye intaneti unaonyesha mipaka ya Malawi iko Songea, ziwa lote liko Malawi na jina la ziwa ni lake Malawi. Serikari yetu kuendelea kupiga porojo tuu miaka nenda miaka rudi wakati wananchi wanadhulumiwa ardhi yao ni kukosa uwajibikaji.
  Mdau josheffu, dar

 3. Anonymous Anasema:

  Xavery umenikumbusha... If police come,tell him Chonya of Chilonwa me! Check your spelling next time you want to communicate with your fellow Tanzanians in a language they neither understand nor bother to learn...

 4. Anonymous Anasema:

  Ah, Huu mgogoro pengine utafufua nyimbo zilizoanza kusahaulika...zile za kumzomea nduli wa Uganda, za kumponda Kambona (ambae hata hatukujua kosa lake)na za kumsifu Mwalimu.... angalau tulikuwa na kauzalendo kidogo

 5. Anonymous Anasema:

  Wabongo wacheni noma. Hiyo inajulikana kama lake malawi. Kama imnataka itabidi muende kwenye international arbitration court na kufungua mashtaka.

  Mambo ya kutishiana kupigana hiyo ni 1970 na vita inaleta umaskini.

 6. Anonymous Anasema:

  SHERIA YA KIMATAIFA YA KUHUSU MAUMBILE YA MAJI IPO WAZI KABISA.

  NCHI ZINAZOPAKANA KWA MAJI NI LAZIMA ZISHIRIKIANE MPAKA UKIWA NDANI YA MAJI NA SIO UKIONGONI.

  MALAWI WAKITOA SHERIA YA MWAKA 1890 YA WAKOLONI WA KIJERUMANI NA KIINGEREZA WALIVYOKUBALIANA SIO SAWA, KWA KUWA UN (UMOJA WA MATAIFA) ULISHATOA SHERIA MPYA ZA MIPAKA YA DUNIA NCHI KAVU NA KWENYE MAJI.

  NDIO MAANA KWA SHERIA ZA UN HATA BAHARI INA KIKOMO CHA MPAKA WAKE NA NCHI HUSIKA, NDIO MAANA UKITAKA KUPATA ENEO LA ZIADA LA BAHARI UNAENDA UN KUDAI EEZ (EXTRACTIVE ECONOMIC ZONE).

  KWA TAARIFA YAO MALAWI HATA MSUMBIJI WANA ENEO LAKE KTK LAKE NYASA ANGALIENI CHINI YA HIYO RAMANI, NA KWA KANUNI ZA UN HATA MSUMBIJI INAYO HAKI YA ENEO LAKE KTK ZIWA NYASA.

  KAMA KIGEZO CHA MALAWI NI HICHO INA MAANA HATA SISI TANZANIA (TULIOKUWA TUNAITWA TANGANYIKA ZAMANI) TUTAKUWA NA HAKI YA KUDAI KUWA ZIWA TANGANYIKA LOTE NI LA KWETU!

 7. Anonymous Anasema:

  Jamani nionavyo mimi nchi inamegwa taratiiiibu.

  Zanzibar hiiyooo inaondoka,
  Lake nyasa hiloooo linaenda,
  Wakenya wanakuja na hoja ya mlima klm japo hali halisi kwa sasa wao wanaufaidi kimapato kuliko sisi wa-tz.
  Machimbo ya madini ndo usiseme wengine(nchi) ndo wanafaidi.

  Victoria na tanganyika navyo vatatiwa zengwe.

  Yote hii ni kwa sababu viongozi si wazalendo na hawana uchungu na mali ya nchi.

  Wametolea macho mikataba feki na madaraka.

  Haya bana.

  Mdau znz

 8. Anonymous Anasema:

  Hivi mbona madai ya nchi yapo Tanzania tu?

  Hivi Viongozi wetu wapo kweli kazini?

  Sheria ya Mkoloni ya Mjerumani tokea mwaka 1890?,,,Malawi mabwege sana, mbona ile sheria ya Misri kumiliki maji ya Mto Nile waliyopewa na Mwingereza tuliivunja?,,,KWA SABABU ILIKUWA INAKIDHI MAHITAJI NA MALENGO YA MKOLONI MWINGEREZA ALIYEWAJENGEA MFEREJI WA SUEZ KWA MKATABA WA KIBIASHARA NA MAPATO.

  Hili lilikuwa sio suala la kuchukua muda wote huu, inatakiwa Malawi wafikishwe kwenye Mahakama za Kimataifa mara moja!

  Hatuwezi kuachia upuuzi huu!

 9. Anonymous Anasema:

  Malawi vilaza kweli kweli!

  Ama kweli imetuthibitishia ya kuwa kiwango cha elimu kimeshuka Duniani na sio nchini Tanzania tu!

  Yaani na kusoma kwao Wamalawi na Kiingereza chao wameshindwa kusoma Sheria za Kimataifa za mipaka ya katika maji zilizoandikwa ktk lugha ya Kiingereza?

 10. Anonymous Anasema:

  wao hii Ramani inasema Tanzania na malawi, na hii si kweli miaka miaka 122 iliyo pita kulikuwa Hakuna tanzania wala malawi, kulikuwa Tanganyika Nyasa Land. kitu cha kujiuliza hii lamani emetoka wapi, i am phothographic forensic ill need to see the evidence, but this one was manipulated. you can see it.

 11. Anonymous Anasema:

  Taibajuka amka dada, wewe umefunga njunga hadi UN kutafuta bahari ya Zanzibar ili iwe ya Tanganyika. Hii ni kujipamba usoni kwa vipodozi lakini gauni nyuma limechanika na makalio yako wazi. Watanganyika shime ileile kumbatia Zanzibar kwa nguvu zote mwisho mtabaki na Dar tu. Kigoma, Ruwanda; Mwanza na majirani zake Uganda; Arusha kilimanjaro Tanga, Kenya; Mtwara Msumbiji. Kila mwenye kudhulumu basi naye atadhulumiwa.
  Mimi Mnyasa wa kudandia.