Msimamizi wa ujenzi wa kiwanda cha sementi mkoani Mtwara,Eng. Dilip Musale (katikati) akimuonyesha Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh. George Simbachawene eneo litakalo jengwa kiwanda hicho pamoja na vifaa vya ujenzi ambavyo vimeanza kuletwa (kushoto) ni mtalamu wa miamba wa kampuni ya Dangote,Bwana Jonh.Kiwanda kikubwa cha sementi na kampuni ya Dangote afrika mashariki na kati kinatarajiwa kuanza kujengwa mkoani mtwara nchini Tanzania.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh. George Simbachawene akionyeshwa ramani ya eneo la mradi na mtalamu wa miamba kutoka Dangote bwana Jonh (pili kushoto) na pembembeni yake ni msimamizi mkuu wa wa mradi wa Dangote,Eng. Dilip Musale (kulia).
Baadhi ya mitambo ya ujenzi ambayo imekwisha letwa kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda hicho.Picha na Chris Mfinanga.
Ankali habari za saahizi kaka hamjambo wote na familia? wapwa zangu hawajambo? wasalimie sana sina la zaidi.
ReplyDeleteASSALAM ALYKUM
ReplyDeleteSASA MKANDARASI NI NANI?
MMILIKI WA KIWANDA NI NANI?
HAYO NI KATIKA MAMBO MUHIMU, TUJUZE!