Kipita shoto cha mnara wa saa kilichoko katikati ya mji wa Moshi ,kwa mbali ni jengo la Kahawa house.
Majengo mapya katika mji wa Moshi,jengo refu linalojuilikana kwa jina la Kibo Tower na pembeni yake ni Nyumbani Hotel.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mji wa Moshi unahitaji kuwa na Barabara bora pamoja na vivutio vingine vya kitalii kama ,Kiwanja cha mpira cha kisasa n.k
    Moshi inaweza kuwa sehemu nzuri kuingiza pato kwa kupitia utalii si wa kupanda mlima tu.
    Utalii kati ya jiji la Arusha na Moshi unaweza kuleta Fedha nyingi sana nchini kama Serikali itatilia maanani.

    ReplyDelete
  2. New castle hotel bado ipo?Ni kama iko mitaa hiyo.Siku nyingi sana sijafika Moshi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...