THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

KRISMASI 2012 yanukia...

Mti maarufu kama 'Mkrisimasi' ukiwa umechanua maua sehemu za Manyoni. Miti hii imeenea sehemu nyingi nchini na maua yake kuchanua inapokaribia sikukuu ya Krismasi. Jina lake halisi ni lipi vile?


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Ze Mangiz Anasema:

  Kilimanjaro Tree al maarufu Chrismass tree/Mti wa krismass

 2. Anonymous Anasema:

  unaitwa Pride of Barbados

 3. Anonymous Anasema:

  Jina lake ni MTI

 4. Anonymous Anasema:

  MKENGE

 5. Anonymous Anasema:

  Huu mti unaitwa Jacaranda

 6. Anonymous Anasema:

  Unaitwa Jacaranda

 7. Anonymous Anasema:

  Hapa Australia wanaita 'Jackaranda Tree' na maua huchanua wakati wa Summer X'mas times