THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

lori lapiga mweleka barabara ya Mandela Road jijini Dar mchana wa leo

Gari aina ya Mitsubishi Fuso lenye nambari za usajili T 612 BHY limepiga mwereka mchana wa leo maeneo ya Tabata Matumbi kama unaelekea Ubungo kwenye Barabara ya Mandela.Chanzo cha kutokea kwa ajali hiyo bado hakijafahamika na hakuna mtu yeyote aliejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Gari hiyo ikiwa imelala ubavu baada ya kupiga mweleka mchana huu.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Yaani ni taabu tupu kila kukicha maisha ya watu yanateketea na mali zao pia, ebu fikiria kwa taarifa ambazo zimefanikiwa kuripotiwa dhidi ya kupinduka kwa magari ni mbili kwa siku ya leo yaani hii na ile ya dakawa morogoro iliyochukua maisha ya abiria wanne, bahati taarifa zote zimeambatanishwa na picha za hayo magari yaani ni mabovu sijui nani anayaruhusu aidha kutembea au kubeba watu? jamani wahusika tuwe makini ktk usajiri na hata ukaguzi.
    Kupitia taarifa hii namkumbusha pia mdau mmoja siku za nyuma aliwahi kuchangia kwamba precision air wanunue ndege zilizotumika asome au aone hizi taarifa.