Kikosi cha paredi cha Jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita mbele ya maofisa wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio la kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam  leo asubuhi ambapo keshokutwa Desema 9 mwaka huu ndio kutakuwa na maadhimisho hayo katika uwanja huo,ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita mbele ya maofisa hao
Kikosi cha Bendera kutoka Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.
Kikosi cha Wanamaji kikitembea kwa Mwendo wa Polepole.PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nakumbuka nilipokua ukraine, wanapokua washerehekea siku ya uhuru au siku ya jeshi watu huamka asubuhi na mapema na kujaa ktk central park ya kila mji ili kuangalia gwaride linaloambatana na sherehe hizo.
    hapa home naona uwanja unapwaya sijui nauli zimekosekana?au ndio ahhh nisijiuzie maandazi yangu mie nikawaangalie walioshiba.

    ReplyDelete
  2. mbona wazee wa Bongo Tambarare kina ras makunja hawaonekani hapa? kulikoni tuseme wao hawamo!

    ReplyDelete
  3. ano wa kwanza: Hapo ni matayarisho. Kesho National (uwanja wa wilaya/mkoa) full nondo hata mate hayatemeki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...