Home
Unlabelled
Hii vipi kwa timu yetu ya Taifa??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SIO MBAYA Ila chata yake sio muhimu kwa kweli
ReplyDeleteina too much makorokocho!
ReplyDeleteInafaa 100%. Ni best kiliko zote nilizoona
ReplyDeleteipo fresh sio mbaya akapewa dili la kutegeneza....tuache unafiki na majungu
ReplyDeleteMbaya mnoooooo!
ReplyDeleteHivi ni lazima kuweka rangi zote za bendera kwenye jezi zetu za timu ya Taifa??!!!
mimi naona rangi nyeusisi aweke itapendeza.hiyo inaonekana kama imefanana na jezi ya zanzibar.mimi sijaipenda.
ReplyDeleteUpangaji wa rangi bado ni tatizo sugu. Jezi zinawekwa rangi zoote mpaka inachukiza.Hata kama unataka kutumia rangi zote mpangilio uwe simple. kuweni wabunifu kidogo.
ReplyDeleteMzozaji.
rangi nyeusi ambayo ni rangi muhimu haimo hivyo HAIFAI !
ReplyDeleteasante !
Hii haifai kuwa jezi ya Taifa kwa kuwa jezi haina rangi nyeusi ambayo iko kwenye bendera yetu
ReplyDeleteHiyo nembo yake(KAJUMULO)inatia shombo hapo vinginevyo poa tu!
ReplyDeletekajumulo ni mbuga gani ya wanyama TANZANIA? au unauza sura
ReplyDeleteTunaweza kutengeneza jezi ya taifa kwa kombinashen 24. Kumbuka hesabu za form four the combination and permutation. Bendera yetu ina rangi 4 kwa hiyo ni 4X3X2X1.
ReplyDeletevilaka vingi bana hiyo ssiyo afadhali hata zingine,kwani hiyo nayo kama zile zingine tu
ReplyDeleteLete, lete, lete, lete, lete!!!
ReplyDeleteAlex Kajumulo bwana kaka,
Fanya mambo uzi unafaa kabisa huo lete lete lete!
Kama unavyoona brother Kajumulo Kikosi chetu cha Taifa kiko hoi bin taabani kwa upande wa nyuzi!!!
BABU KAJU NAMKUBALI SANA SANA KTK VIFAA VYA MICHEZO.. HII SIO MBAYA LAKINI NAONA HIZO RANGI MBILI (NJANO) ZA KARIBIA NA SHINGONI UNGEZITOA..
ReplyDeleteSHUKRAN
Yaelekea alitaka kuinclude rangi za bendera ya taifa. Lakini nadhani amesahau rangi yetu ya asili, nyeusi.
ReplyDeleteHata hivyo nampa big up kwa kujaribu..
Maoni yangu.Si mbaya lakini yafuatayo yangerekebishwa.
ReplyDelete1.Nembo zake(kajumulo) zimekuwa nyingi mno kama vile siyo ya taifa bali ni ya kajumulo stars.Apunguze hata kama ni mdau mkubwa.
2.Rangi za bendera ya taifa hazijakamilika.Zingine hazipo.
Ni hayo tu
tunaomba kajumlo, angalie wapi pa kuweka rangi yetu nyeusi.
ReplyDeletenimeshasema mara kadhaa. Nembo ya TFF inabidi ipitiwe na wataalamu. Hii nembo haina hadhi kabisaa...imekaa kichovu sana. Kwana kuna ubaya gani ku-adopt nembo mpya? Wapeni vijana kazi wawaletee nembo nzuri ya TFF hii nembo ni vurugu tupu haina hadhi ya kitaifa. Kuna wadau wengi wanaweza kuanzia hapo. Kwa ujumla hii Jezz bado inatakiwa kazi kiasi...!!bado haijavutia sana....!!
ReplyDeletekwani uzi wa sasa una shida gani? MBONA uzi huu una nembo ya Kajumulo badala ta Taifa stars? Halafu mbona uzi huu hauna rangi nyeusi? Mi nilidhani Mr. Kajumulo si raia tena wa tz!
ReplyDeleteHapana,haifai.
ReplyDeleteDavid V
Ni Nzuri lakini naona rangi nyeusi inakosekana, kwa hiyo nadhani ingwekwa katikati ya rangi ya njano ya pembeni. Yaani punguza size ya strip ya njano ili ziwe mbili halafu katikati ndio hiyo nyeusi
ReplyDeleteinfaa sana ila tungeomba tuonee na huko mgongoni kuna rangi na alama gani?? je mtu binafsi ukitaka kupata nakala yako utapataje?? thanks babu kajo for your contribution to our country.
Its a good thing to see a Tanzanian doing great thing.Keep it up bro!uzi uko poa sana na ninaunga mkono hoja.Mungu ibariki nchi yetu
ReplyDeleteHiyo KAJUMULO ndio imechukua nafasi ya Nike, Adidas, Puma...siyo?
ReplyDeleteMimi naona siyo sawa, iwekwe TANZANIA, maana kutokana na uwezo wetu waTZ, kesho atatokea MURJI, CHUDASAMA, MUSHI, MWASAKAFYUSI, RAMIA, CHOLO...
JE, SI ITAKUWA VURUGU MECHI?
Wabongo 2napenda Kukosoana Saana ...Majungu Meengi..Uzi Uko Poa..Bob Kaju Mwaga Nyuki...
ReplyDeleteMpangilio wa rangi mbovu.!!!...sio lazima kuwa na rangi zote za bendera ya Tanzania kwenye jezi. Uzi huo haufai..!!
ReplyDeleteSi lazima kila rangi iliyopo kwenye bendera iwepo kwenye jezi thts y inaonekana too complicated!
ReplyDeleteMimi niulize timi ya taifa jee taifa gani ninavyofahamu mimi TANZANIA ni muungano wa nchi mbili yaani ZANZIBAR na TANGANYIKA na ZANZIBAR tuna timu yetu bendera yetu na wimbo wetu wa Taifa sasa hili laplap la hapo juu sielewi la taifa gani au ndio Tanganyika any way ikiwa ni hivyo why dont you made it clear and call it Tanganyika star. Acheni ujinga huo mtu hakatai asili yake.
ReplyDeletePengine mimi macho yangu hayaoni rangi vizuri lakini ninaiona rangi nyeusi chini ya rangi ya manjano au macho yangu? S.C. Toronto, Canada
ReplyDeleteSiyo kwamba wabogo wanapenda kukosoa na majungu mengi kama mchangiaji mmoja alivyosema, aliyeiweka jezi hiyo kwenye mtandao alihitaji watu watoe maoni yao ili kama kuna marekebisho yafanyike. Tafadhari heshimu mawazo ya wengine hata kama yanapingana na yako. Ndg Kajumulo, nembo yako haihitajiki kwenye jezi ya timu ya taifa iondoe
ReplyDelete