Mwanamuziki Diva Tabia Mwanjelwa mwenye maskani yake nchini Ujerumani Anawapa burudani watanzania wote na wimbo wake mpya "Kilimanjaro" Bi.Tabia Mwanjelwa bado analiendeleza libeneke la Muziki na kuipeperusha bendara ya Tanzania kwa kutumia sauti yake alayojaaliwa na Mwenyezi Mungu. Tabia Mwanjelwa ni mwanamama aliyevuka milima na mabonde katika medani ya muziki na bado yupo gado.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...