Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ni vizuri umeongea kwa muda wote huu bila kuweka kiingereza ingawa unakijua. ukiangalia interview za wasanii hasa wa kike wanajikweza na kiingereza ingawa hawajui mwishoni wewe mtazamaji ndio unawaonea aibu.

    ReplyDelete
  2. Hongera Dk. Shule, umeongea bila kumung'unya maneno. Hii inaonyesha jinsi kichwa kinavyofanya kazi na uwezo wa kuchambua mambo hongera sana.

    ReplyDelete
  3. Dr umependeza sana na nywele zako fupi!! Kazi zako ulizowahi kufanya na zinapatikana wapi?

    ReplyDelete
  4. Hongera Dk Vice. Nyie akina dada zetu muone wajuvi wa mambo wanavyokuwa wao katika fani na mbele ya jamii. Nyie mnajifanyaga wadhungu wakati hiko kidhungu ni cha ugoko ati mpaka lafudhi mnajitia kama vile mmezaliwa Oslo!! Hongera zako Dk Vicencia Shule.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...