Ngoma za taifa kwenye madisko zilikuwa kedekede na kila zinapopigwa alikuwa hakai mtu chini, mfano hawa jamaa wa Odyssey na hii ngoma ya 'Going Back to My Roots'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

 1. Si munaona zamani wakina mama waivyokuwa wanavaa kiheshima kabisa hapo kwenye steji.

  Imekuwaje leo vivazi havieleweki?

  ReplyDelete
 2. Hii ngoma bado kali hadi hii leo!za siku hizi mchemsho tu,baada ya mwezi,umedoda!vijana wa zamani walituliza vichwa na kupanga mistari,na beat yenyewe ilifanyiwa mazoezi ya kufa mtu kama haijawa released!hakuna kukurupuka!

  ReplyDelete
 3. Kama una noti, zilete leo zishindane na maua.... Kama sio hivyo andika wanavyoimba :)

  ReplyDelete
 4. " Achimwene, achimwene,achimwene, achimweneeee", checki sisterdooo, amevaaa tinabuuuu!

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...