Ukiondoa wimbo wa Jim Reeves wa Christmas, msimu kama huu ngoma ya 'Calender Song' ya Bonny M mwaka 1979 ulikuwa haukosi kuombwa kwenye kipindi cha 'From me to you' cha RTD enzi hizo... Acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wako wapI??? nimeangalia website yao nayo wala haisemi club hii ipo wapi.

    ReplyDelete
  2. Eh Bwana wee kwa kweli umenikumbusha mbaaaaali enzi hizo bila ya cassette ya Boney M wewe hauko kwenye chati.

    Brown girl in the ring, Rasputin, Bahama mama, Ma Baker na nyingi nyengine ambazo mpaka leo hii hukaa na kuziangalia kwenye youtube bila ya kuchoka!

    Umepita kama moshi ujana wangu weeee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...