Hivi ndivyo mji wa Kigoma unavyoonekana sambamba na Ziwa Tanganyika mchana wa leo.na kile kikwangua anga kinachoonekana ni cha Shirika la Nyumba ambacho kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa


  1. Isingekua ni miundo mbinu thabiti basi nakwambia kigoma ingekua the best place for tourism investment in Tanzania

    nakumbuka nilikuja na mmliki wa sentosa world resort akasema shida kubwa ya kigoma hakuna umeme wa kutosha na barabara nzuri that shows alivutiwa sana na huu mji

    ReplyDelete
  2. Dah! That's my home town.

    ReplyDelete
  3. leka dutigite....!

    ReplyDelete
  4. kigoma ni mji mzuri sana ,una mdhari ya kuvutia.Tunamshukuru RAIS Jakaya kikwete kukumbuka mji wa kigoma kwani kuna sasa kuna barabara nzuri,umeme wa uhakika.

    ReplyDelete
  5. SIJAWAHI KUONA MJI WENYE MADHARI NZURI KAMA KIGOMA.MIUNDOMBINU INAZIDI KUIMARIKA BAADA YA MIAKA MITANO,MJI HUO UNAWEZA KUWA KITOVU NA SOKO KUBWA LA AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...