THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

ngoma azipendazo ankal - enzi hzio

N'Kosi Sikeleli kama ilivyoimbwa na Miriam Makeba, Ladysmith Black Mambazo na Paul Simo


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Nadhani nkosi sikeleli=mungu ibariki afrika.

  2. Anonymous Anasema:

    Katika kipande cha 3:00-3:15 mbona kama rythim ya pambio flani.

  3. Anonymous Anasema:

    Hawa watu kwa kuimba hisia tu hakuna siajona afrika nzima yaani hata kama kinachoimbwa hukifahamu lakini hisia hutiririka moja kwa moja.