Ni Jumatatu ya Pasaka na Kwaya ya Kiinjilisti ya Kijitonyama wanasherehekea kwa 'Eeee Baba, kama si wewe ningekuwa wapi'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

 1. Asante sana Ankal.Jana sijakuona kwenye Tamasha la Pasaka Uwanja wa Taifa,nilitaka tutete mawili matatu kuhusu huu mtaa wetu wa "Majoka".Mvua ziliharibu burudani kwa kiasi fulani

  David V

  ReplyDelete
 2. thanks kaka michuzi very nice song!!!!

  ReplyDelete
 3. Hii ndio April fool ya leo?

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...