Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha mgombea udiwani kata ya Themi mkoani Arusha, Lobora Petro Ndarpoi katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya relini kata ya Themi. Uchaguzi huo katika kata 4 za Arusha unatarajiwa kufanyika tarehe 16/06/2013.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha karatasi ya mfano ya kura ya udiwani katika kata ya Themi mkoani Arusha.
Baadhi ya wananchi wa kata ya Themi mkoani Arusha, wakimsikiliza Maalim Seif wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani katika kata hiyo. (Picha na Salmin Said, OMKR
kulikuwa na watu 42 tu.
ReplyDelete