Tofauti na tamaduni za mikoa mingine, huku Mkoani Kilimanjaro wakinamama ndio wafanyabiashara wakubwa wa biashara za mtaani a.k.a Machinga. Kamera Yetu leo hii ilikuwa ikivinjari katika kona mbali mbali za Mji wa Moshi mjini na kushuhudia harakani mbali mbali za wakinamama hao wa mkoa huu wakiwajibika katika biashara hizo.
Mwanamama akipanga Biashara yake ya Mabegi.
Hapa napo ni Biashara ya Soksi za kina Baba.
Kina Mama hao pia wanauza Viatu vya Kinadada pia.
jamani Moshi kusafi sana,
ReplyDeletecpati picha haya yangekua maendeo ya mchikichini, cjui hali ipoje ombama alivyoondoka
hongereni sana wakazi wa Moshi
Hongereni sana kinamama kwa juhudi zenu kwani nyie ndio wakombozi wa taifa letu.
ReplyDeleteJapo zipo chini,bidhaa zimepangwa kwa usafi. Moshi kwa usafi ni ya kuigwa!
Wachaga achana nao bwana!, wako very organized na very determined. huu ni uthibitisho tosha.
ReplyDeletesawa lakini hii pangapanga chini nayo vip?
ReplyDeletesesophy
Absolutely fantastic! Mungu awabariki.
ReplyDelete