Amina Issa mkazi wa Tumbaku,katikati akipokea hundi ya shilingi laki
moja baada ya kushinda shindano la Vodacom mkwanja ,wanaokabithi hundi
kushoto ni Ahmed kaunda mkaguzi mawakala,kulia ni kamanda Kasapila
meneja wa tawi
Kijana Rakmadhan Juma mkazi wa nane mjini Morogoro akiwa ameshika
mfano wa hundi ya shilingi laki moja mara baada ya kushinda katika
shindano la mkwanja kwa wakala liloandaliwa na kampuni ya simu za
mkononi Vodacom Tanzania
Rodrick Eliam mkazi wa kichangani katikati akipokea hundi ya shilingi
laki moja baada ya kushinda shindano la Vodacom mkwanja kwa
wakala,wanaokabithi hundi hiyo kushoto ni Ahmed kaunda mkaguzi
mawakala,kulia ni Kamanda Kasapil.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...