Kikosi cha Yanga.
 Kocha wa Yanga, Ernstus Brands (kulia), akifuatilia pambano la kirafiki kati ya Yanga na KMKM lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo. Yanga imeshinda ilishinda 3-2. (Picha na Francis Dande)
Benchi la Ufundi la timu ya KMKM ya Zanzibar.
 David Luhende wa Yanga akiwania mpira.
 Mshambuliaji wa Yanga, Reliants Lusajo akichuana na mchezaji wa KMKM, Mwinyi Ameir Makungu.
 Beki wa KMKM, Faki Ali Amad (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji wa pembeni wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Msuva akichuana na Faki Ali Hamad.
 Kipa wa Yanga Juma Kaseja akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

Mshambuliaji wa KMKM, Nassor Ali Omar akiruka juu kuwania mpira sambamba na Simon Msuva wa Yanga.
 Mashabiki wa Yanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mie niulize, Kaseja kahama Simba na kwenda Yanga tena? au inakuwaje. mwenye ufahamu naomba anisaidie sielewi kabisa. Mara Ivo Mapunda anataka kusaini mkataba kuwa goli keeper wa Simba sielewi msaada mdau anayejua hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...