Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani
kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika
nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika
nyumbani kwa marehemu Kilosa achi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...