THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

news alert: ankal anunua ndege kuondokana na adha ya foleni jijini dar es salaam

Ankal akijiandaa kuingia ndani ya ndege yake ndogo inayoweza kutua popote aliyoinunua hivi karibuni kutoka katika visiwa vya Ushelisheli (Seychelles Islands) ili kuepukana na adha ya foleni jijini Dar es salaam. 
Ankal ameiambia Globu ya Jamii kwamba amekuwa akisomea urubani wa ndege hiyo kwa siri kwa mwaka mmoja na sasa ameshatimiza  masaa 450 hewani na tayari ameshapata leseni ya kupaa katika jiji la Dar (mchana tu, kati ya saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni) na kutua katika viwanja mbalimbali vikiwemo vya Gymkhana (kwa wilaya ya Ilala), Uwanja wa Taifa wa zamani (wilaya ya Temeke) na Biafra (wilaya ya Kinondoni) na Maisara (Unguja). 
Maombi yake ya kutua katika miji  mingine mikubwa kama vile Mbeya, Mwanza, Arusha, Rukwa, Katavi, Njombe, Dodoma na Morogoro yanashughulikiwa na huenda akafanikiwa mara baada ya sehemu za kutua katika mikoa hiyo zitapothibitishwa na mamlaka husika.
Ankal anakuwa blogger wa kwanza Mtanzania mwenye kumiliki ndege yake mwenyewe. Anasema hiyo ni hatua moja kubwa aliyokuwa akiiota miaka kadhaa wakati alipokuwa anafikiria si tu namna ya kupambana na foleni mijini, bali pia kufikia habari moto na kwa muda muafaka..


Kuna Maoni 84 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Haaaa haaaa tumestuka LEO NI SIKU YA WAJINGA, hakamatiki mtu hapa!

 2. Siku ya wajinga hiyo ha ha ha ha najua unawezo Ankal wangu lakini aaaaahhh...!! umetupiga changa la macho.

 3. Anonymous Anasema:

  April's Fool>>> hehehee

 4. Hongera sana Ankal. Mungu ni muweza wa yote kwake yeye aaminiye na kumtukuza. Mimi binafsi nimefurahishwa na hatua hii nzuri uliyoipiga kwani naamini itarahisisha kazi yako kwa kiasi kikubwa nasi tutafaidika pia.

 5. Anonymous Anasema:

  April Fools Day....

 6. Anonymous Anasema:

  SIKU YA WAJINGA DUNIANI. HONGERA KWA NDOTO NJEMA

 7. Anonymous Anasema:

  Hahahaha ankal hongera sana kwa kupiga hatua kubwa Kama hiyo kwenye karne hii yenye changamoto nyingi kwa sie wabeba boksi, swali la kizushi mbona hii sehemu Kama pale uwanja wa nanihiu pembeni mwa jnia maana hizo rangi za jengo na Ac za sanyo zilizochoka malaya Kwikwi Kama hapa ni sychells as u said... jibu tafadhali na kumradhi Kama kwa mbaaaali ntakuwa nimekutibulia kwa bbys maana uzee umeisha kule kwenye kampeni so unajua tena bbys za mujini ukiwa na ka private jet tena mweh kwa ubuah..ni hayo tu

 8. Anonymous Anasema:

  tehe tehe tehe......fools day

 9. Anonymous Anasema:

  Siku ya wajinga ankal!! But was good one though!

 10. Anonymous Anasema:

  April 1

 11. makei Anasema:

  Hongera sana Ankal na MUNGU akuzidishie am really proudly of you

 12. Anonymous Anasema:

  Ankal,

  Hongera na pia sikukuu ya wajinga!

 13. Alpha Anasema:

  Karibu kwenye ulimwengu wa kupasua anga.... angalia jamaa wa TRA wasikupe usajili wa MH370

  Karibu Aprli 01

 14. Anonymous Anasema:

  Wajinga Day Ankal

 15. hajra Anasema:

  hongera sana kama kweli...ila nawasiwasiiiiiiii

 16. MATANGALU Anasema:

  tarehe moja mwezi wa nne,

 17. Anonymous Anasema:

  01/04

 18. Anonymous Anasema:

  01/04

 19. Anonymous Anasema:

  Mjinga mwenyewe

 20. Anonymous Anasema:

  Asante ankal.. Tunajua hii ni April Fools day.. Lakini kwa uhakika imekaa vizuri hii, fanya kweli basi.

 21. Anonymous Anasema:

  siku ya wajinga

 22. Anonymous Anasema:

  april fool!!!!!!!!!

 23. Anonymous Anasema:

  Ankal safari hii hutu pati ;) 1/04 / 2014; )

 24. Anonymous Anasema:

  I'm not fool. Hahaaa

 25. Anonymous Anasema:

  'You can fool people some time but you can't fool people all the time'.

  Don't try to hoodwink peole please

  Nimekuona eeeeee. April fool!

 26. Anonymous Anasema:

  siku ya wajinga leo

 27. Anonymous Anasema:

  Duh! Big up ankal. ...Hongera sana kaka!

 28. Anonymous Anasema:

  Hongera, ha ha ha
  Nionavyo mimi ingekuwa bora kama ungejinunulia helichopa.

 29. Anonymous Anasema:

  April wise men's day.
  Hahhaaaaaaaaa hutupati ng'o

 30. Anonymous Anasema:

  Ankal kweli kaukata siyo mwenzetu tutakuwa tunamuona kwa juu lakini atatua wapi akiwa anaenda kwao kwani kuna uwanja wa ndege. Au ndiyo April fool.

 31. Anonymous Anasema:

  Hahahaha. Ankal ungenunua kwanza fulana zingine kabla ya hiyo ndege.

 32. Anonymous Anasema:

  Hongera sana uncally wetu kwa kununua ndege kwa ajili ya april/1 tu, kwani kesho hutakuwa nayo

 33. Anonymous Anasema:

  Congratulations, big up, hongera sana, kila la kheri, Tegeta utatua kwenye uwanja gani, nataka niwe nawahi lift nitachangia wese.

 34. Anonymous Anasema:

  Hongera Ankal (KAMA NI KWELI!!!)

 35. Anonymous Anasema:

  siku ya wajinga duniani

 36. Anonymous Anasema:

  Congratulations Ankal. Ila tu taarifa hizi zilipaswa kutufikia jana au kesho na sio leo kwakuwa leo ni tarehe 01/04/2014. Kwa wajanja mmeshaelewa ninachomaanisha.

 37. Anonymous Anasema:

  Ankal na vijijini pia kuna shemu kuna viwanja.Omba pia kutuwa katika kiwanja cha kijiji kiitwacho TUTAYAONA kilichopo mpakani baina ya kijiji cha Kufikirika na Kusadikika katika wilaya ya Mambousiayaige.

 38. Anonymous Anasema:

  JINGA`S Day

 39. Anonymous Anasema:

  Anko hampati mtu, n'a April fool

 40. Anonymous Anasema:

  hahaha anko asante kwa April full...

 41. Anonymous Anasema:

  Is it April Fools day au nimekosea?

 42. jiga Anasema:

  Hongera sana

 43. Anonymous Anasema:

  well done uncle happy fools day

 44. Anonymous Anasema:

  APRIL FOOLS DAY!

 45. Anonymous Anasema:

  Tumekushtukia Anakali, yaani hapa humpati mtu. Tarehe 1 Aprili hiyo.

 46. Anonymous Anasema:

  Ni tarehe 1/4 so ankal kajipange upya!

 47. Anonymous Anasema:

  Hongera sana Michuzi kwa hatua hiyo,Sasa ni News kwa kwenda mbele.

 48. anonymous Anasema:

  April Fools hiyo!

 49. Anonymous Anasema:

  April Fools hiyo!

 50. Anonymous Anasema:

  Hongera uncle kwa wazo zuri isije kuwa ni foolish day. Nachelea kuamini.

 51. Anonymous Anasema:

  Sikukuu ya wajinga ....

 52. Anonymous Anasema:

  mhh

 53. Anonymous Anasema:

  shauri yanko ankali si uwezi wa kukutafuta DEEP SEA hatuna.

 54. Anonymous Anasema:

  we ankal unafikiri hatujui kwamba leo ni siku ya wajinga

 55. Ze Mamba Anasema:

  Ze Mamba:
  Kwi kwi kwi. Haya ankal, kanyaboya zuri sana, na nimelipenda. Umewapata wangapi? Kwi kwi kwi.

  On a serious note, inabidi ununue ndege ankal, maana wewe ni alwatani kwenye hili gemu.

 56. Anonymous Anasema:

  Sikukuu ya wajinga leo.

 57. Anonymous Anasema:

  Kaka nashukuru kwa kutukamata vizuri siku ya wajinga nami nimekuwa mjinga kwa leo asante sana mkuu wa kazi.
  Ila kwakuwa umenikamata vizuri nakuombea ununue helkopta kabisa ili kukidhi matakwa yetu sie wapenzi wa mi-newzzzzz ya kukata na shoka.

 58. Anonymous Anasema:

  Ndio Mzee wa Libeneke! Napenda kutoa Pongezi kwa Jitihada zako na mafanikio ya kuliendeleza Libeneke! Pia Hongeza sana kwa Kumnunua huyo ndege ingawa inatia mashaka kuona ndege hana Jina! Ndio maana hisia zangu zinaniambia kuwa ni Jiwe la Fool's Day so Ngastuka Mzee! Nice try though! Ila kama ni kweli Hongera tena Uncle!

 59. Anonymous Anasema:

  Uncle hili ni changa la macho sikukuu ya wajinga leo ,mdau wa Ukerewe

 60. Anonymous Anasema:

  Braza michu acha hizo leo sikukuu ya wajinga

 61. Anonymous Anasema:

  1.4.2014

 62. Anonymous Anasema:

  umeniokota kweli siku ya wajinga leo.du...

 63. Anonymous Anasema:

  Hichi ni kibonzo cha Fulls Day! Good luck with that!

 64. Anonymous Anasema:

  1st April ni siku ya akina nani vile?

 65. Anonymous Anasema:

  NADHANI LEO NI TRH 1

 66. Anonymous Anasema:

  Sikukuu ya wajinga

 67. Anonymous Anasema:

  Hapo kama Dar sa Salaam terminal 1 vile???.....hahahahaha.....April 1st

 68. Anonymous Anasema:

  Hongera, weka nembo ya Fulanaz basi.

 69. Anonymous Anasema:

  Hongera Ankal...lakini kununua hako kapipa siku ya April 1st mimi bado hujanipata.

 70. Anonymous Anasema:

  April fool!!!! Misupu nimekushtukia....ha ha ha

 71. Anonymous Anasema:

  "Fools Day 01 April ni Siku ya wajinga"

  Ankal kwa leo sitokupa Hongera
  labda kama ukitoa hizi habari tena
  kesho nitakupa hongera saana mkuu

  Mikidadi- Denmark

 72. Anonymous Anasema:

  1st april Ankal teh teh teh

 73. Anonymous Anasema:

  Its april fooooool

 74. Anonymous Anasema:

  Kama nakumbuka vyema tarehe kama hii mwaka fulani huko nyuma ankal aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, sasa kanunua ndege, mhhh, mambo yake si mabaya!!!

 75. Anonymous Anasema:

  Ndege hii inafafa ya kwangu niliyopaki mujini Dar es salaam. Imepata pancha ya tairi la kulia.

  Hongera sana

  Karibu kilabuni ankal

  pilot mzoefu

 76. Anonymous Anasema:

  Leo si ile siku yao....!

 77. Anonymous Anasema:

  April moja utawapata wengi ankal! lol!

 78. Anonymous Anasema:

  Wooote nyie mmechemsha leo sio siku ya wajinga but the Mduduz day.

 79. Anonymous Anasema:

  ukiwa mjinga...na sisi sio wajinga..

 80. Anonymous Anasema:

  Ama kweli Fools Day! Ndege gani kutua uwanja wa biafra ambapo pamekuwa dimbwi la maji!!

 81. Anonymous Anasema:

  kwa april2nd..... mimi nitanunua ikulu ndogo pale chamwino ankal, sitaki tena kukaa darchalama, kuna vumbi na fujo nyingi mno....ankal

 82. Anonymous Anasema:

  Hakikisha unaisadili kwa number AK040114.

 83. khamsin Anasema:

  DUUH BRO HONGERA SANA ILE AHADI YAKO IME TIMIA KAMA TULIVYO ONGEA USUBIRI MPAKA SIKU KAMA YA LEO U BREAK NEWS NA KWELI USEMI WAKO WATU WATAFIKIRI APRIL CHANGA LA MACHO INA BIDI KUWAPA KIZARAMO KALAGA BAHO BIG UP BRO

 84. Anonymous Anasema:

  Angalia usipotelee mto ruvu au wami kama malysia airline = april fool