''Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Mhe. Balozi Daniel Ole
Njoolay anayofuraha kuwaalika
Watanzania wote waishio nchini Nigeria na nchi za
Ghana, Liberia,Sierra Leone, Benin, Ivory Coast,Mali,Senegal,Burkinafaso,Togo,Gambia,Guinea
Conakry,Guinea Bissau na Mauritania kwenye
maadhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa
Tanzania.
-Tarehe 25/04/2014 kutakuwa na maaonyesho ya Utalii na
fursa za Uwekezaji zilizopo Tanzania,
na jioni kutakuwa na tafrija fupi katika Hotel ya
Sheraton-Abuja.
-Tarehe 26/04/2014,Mhe. Balozi atakutana na Watanzania wote
katika Makazi ya Balozi yaliyopo
21 Yedseram Street-Maitama,Abuja.''
Watanzania wote mnaombwa kufika bila kukosa.
NB: Atakaye soma Tangazo hili amuarifu na mwenzake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...