Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2014

    Inategemea na kiwango cha elimu alichokuwa nacho, huenda akawa amejitahidi sana mpaka kufikia hapo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2014

    shughuli hipo hapo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2014

    NATAFUTA MAKOSA LAKINI BADO SIJAYAONA!MBONA IKO SAWA HII KIUANDISHI.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2014

    wiki mbili zilizopita niliandika ukuhusu kiingereza (cha kuongea) cha kubabaisha cha bingwa mtaalamu wa moyo. Nikapigwa madongo ya macho na wadau, hatimaye ile thread ikatolewa. Huyu jamaa amejitahidi sana, siyo kosa lake, ni kosa la education system ya Enzi zake, alau siku hizi kwa wenye pesa wanawapeleka watoto wao shule binafsi.
    I live and work as a professional in the UK for over 20 years, and I still learn English.
    Namtakia huyu mtafuta kazi kila la kheri, kama una contact zake basi ziweke hapa tumpe tafu mwenzetu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2014

    Hakuna tatizo hapa, labda miundombunu ya Elimu ya Tanzania. apewe msaada. Huu unaitwa uthubutu ni wachache wanaweza

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2014

    wewe umeweka hii yaani wewe umesoma sana au

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2014

    nikisema mtaona labda nataja majina ya wakubwa , ukweli elimu imeshuka kwa kiwango kikubwa kutokana na
    1.sera za mwl nyerere za elimu
    kuchaguana kwa upendeleo kujiunga
    na nafasi vyuoni kwa misingi ya
    rangi , kabila na udini na kupasishana kwa misingi hio
    3. lugha yetu kiswahili ni nzuri
    na tunapaswa kujivunia lakini
    lazima tukubali sio lugha ya kuwetuwezesha kuelewa taaluma muhimu ktk dunia ya leo

    huyu aliyeandika hii barua hapaswi kulaumiwa hata kidogo , nampongeza kwa kujitahidi kutokana na elimu aliyopewa

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 12, 2014

    mdau juu hapo tunaomba hio link ya mtalaamu wa moyo tuweze kupima na sisi tusio na elimu kubwa kimombo chetu kipo vipi kulinganisha na wasomi wetu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2014

    Kwa vile kiingereza si lugha yetu sioni makosa kwenye hiyo barua.Kwanza kazi anomba nchini Tanzania ambako Kiswahili ni lugha yetu ya taifa. Angekua amekosea Kiwahili ningemlaumu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2014

    BIG RESULT NOW (BRN)

    ReplyDelete
  11. Teach children how to speak the language and not only how to read and write. These steps are necessary:
    1. verbal /listening communication. A 5 years old Tanzanian needs 2 years of verbal and listening of English language before they can start to learn how read and write. At least 10 hours a week
    2. Writing /grammar as an ongoing learning.
    3. Reading comprehension as an ongoing learning.

    In order for Government to achieve this, English graduate teachers should be teaching Kindergarten and Primary schools. If teachers will be paid according to their education, I am sure many B.Ed. graduates would not mind to teach primary school.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 12, 2014

    Hii barua ina makosa mengi sana nashangaa wale wanaoiona haina shida au ndiyo viwango vyetu hivi?sehemu nyingne zimesahihishwa lakini ile please ya kwanza na makosa mengi katika paragraph ya mwisho pamoja na dondoo zake tatu hazijasahihishwa. Ujumbe tusichekabe bali tuimarishe kiingereza hata kama kwa kuomba walimu wastaafu kutoka uingereza kutupiga jeki.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 12, 2014

    HEE WAJAMENI , SUBIRI KWANZA MSIWE NA HASIRA . KWANI NI WATU WOTE LAZIMA WAWE WANAJUA KIINGEREZA ? HIO NI LUGHA YA KIGENI WALA HAINA FAIDA NA SISI KWA NINI TUSIBORESHE LUGHA YETU YA KISWAILI IKAWA NDIO NO 1? HUO MUOMBAJI WA KAZI WALA SI MLAUMU KWANI KUNA WAZUNGU WANGAPI AMBAO HAWAJUI LUGHA YA KIINGEREZA? NI WENGI TU WALA HAWANA HABARI NAYO KAMA SISI TUNAVYO JIPENDEKEZA KUIJUA KAMA NDIO LUGHA TULIYOZALIWA NAYO , HAPANA TUTAKUWA NI WATUMWA WA WAKOLONI TU, MPAKA DUBIA HII INAKUFA NA WALA HATUTAFIKIA HICHO KIWANGO TUNACHOFIKIRIA. HUYO MJAMAA ALIEANDIKA APPICATION HIO WÁLA HAJAKOSEA AMEJITAHIDI SANA KADRI ALIVYOWEZA KUJIELEZA NA HUO NDIO ULIKUWA UPEO WAKE BY THIS TIME .
    MIMI MBONA NIMESOMA NA NIMUMUELEWA ANACHOKIELEZA ? SPELLING MISTAKES HATA WAINGEREZA WENYEWE WENYE LUGHA YAO HAYO MATATIZO WANAYO.

    APEWE HIO AJIRA ANAYOIMBA ,NA KAMA ATAONEKANA ANAHITAJI KUJUA VIZURI HIYO LUGHA YA KIINGEREZA APEWE COURSES ZAIDI ZA KUSPELL, SIO KUMCHEKA KANA KWAMBA HANA AKILI AU NI MBUMBU KWISHA KAZI.

    MIMI NAONA HATA HUYO MTU ALIELETA BARUA HIO HAPO HATA BABA YAKE HANA CHOCHOTE ANACHOJUA ZAIDI YA KUONGEA KINDENGEREKO.

    TUJIFUNZE KUTOA SUPPORT ISIWE KILA KITU TUNAKIKALIA KINE GATIVE TU ! HATUWEZI KUENDELEA KAMWE KAMA NI HIVYO.

    HUYO MUANDISHI WA HIO BARUA YA MAOMBI HATA YEYE KAFUNDISHWA NA MWALIMU AMBAE HAKIJUI KIINGEREZA
    TUDUMISHE KISWAHIULI ILI TUONDOKANE NA DHARAU HIZI ZA KILA SIKU KAMA SISI KWA SISI TUNAJIDHARAU HAO WAZUNGU WENYEWE WATATUONAJE?

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 12, 2014

    Kufuata lugha ya watu, kuna asilishwa na umasikini wa wahusika. Natoa mfano wa wazi kabisa: Wajerumani hata ma-profesa wapo wengi hawajui kiingereza wala hawajishughulishi nacho, kwani wametosheka na malipo wanayopata hata hawana mpango wa kutoka nje ya nchi yao, ila unayekwenda huko sharti ujue lugha yao maana wewe ndiye mwenyeshida. China, mwenyeshida utajifunza kichina, unataka biasharanao utajifunza kichina kama vile sasa walivyoanzisha lugha ya kichina kwenye baadhi ya vyuo Afrika.Sasa sisi wamakonde, hata kiswahili chenyewe hatukijui sawasawa, kisha tumeamua kudandia English-bus service, cha moto tunakiona. Sipingi umuhimu wa kiingereza, ila ninajaribu kuona ni kwa namna gani lugha yetu ya kiswahili, pamoja na lugha zingine tunavyoweza kujifunza na kuzitumia bila kushurutishwa na ama kuonekana bwege tu kwasababu huijui lugha ya Kiingereza au ya waingereza ili nieleweke vizuri. Ni lugha ya waingereza hata kama hatutaki kuambiwa hivyo, na sisi wengine kiswahili ni lugha yetu siyo yao. Sasa tunahimiza zaidi yao, na kuacha yetu!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 12, 2014


    Mimi binafsi ningependa kuelimishwa mdau aliyeweka hii thread aliiweka kwa lengo la kufurahisha darasa au alikuwa na nia njema na ya dhati kabisa, inawezekana kabisa mdau kaweka ili mradi kufurahisha baraza

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 13, 2014

    Last sentence "I'm ready to continue (for) studies if it will be needed.

    ReplyDelete
  17. NAITWA MESSI KOMBA NATOKEA TEMEKE NATAFUTA KAZI NIMEISHIA DARASA NA SABA NILISHINDWA KUENDELEA NA SHULE KULIKUA NA MATATIZO YAKIFAMILIA NAOMBA KAZI KAMA KUNA NAFASI YA KAZI NAMBA YANGU IYO 0676677110

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...