Confirmed...21Feb2015..Yamoto! Yamoto! Yamoto Band Live in the UK For the first Time Ever...When we Say Live, we mean 

Live with Full Band & Dancers...
This is one show that's not to be Missed... Sponsored by @officialjestinageorgeblog @bongodeejays@zuriihouseofbeauty

 Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa yamoto band Maromboso na Aslay  baada ya makubaliano ya kuwadhamini band hiyo kuja  kufanya show yao jijini London @maromboso @aslayisihaka
 Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na mameneja wa yamoto band
 It's gonna be bigger and better! UK & Europe people Save the Date. Their Live Performance is a must see..If you love live music
Make sure you get your tickets mapemaaaa...Hili ni Bonge la show kuwahi kutokea na watoto wameahidi kuweka historia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Swali wandugu....
    Mara nyingi naona vijana kwenye picha wanaonyesha vidole viwili kwa namna moja ama nyingine ... Maana yake ni nini hasa??
    Zamani wakati wa freedom fighting, vidole viwili ilieleweka vinamaanisha USHINDI (VICTORY). Sasa hivi hata vijana wa vijijini wananyoosha vidole huku na kule, sielewi kabisa maana yake ni nini. Naomba mnielimishe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...