Naitwa Ellen Azaria Maduhu,
Nimepoteza wallet nyeusi ambayo ilikuwa na vitambulisho vya kazi, leseni za kuendeshea gari, kadi za benki, health insurance cards na credit cards.
Naomba kwa ambae ameviokota, apige simu na 0789223344 au 0753223344 au 0787 636 695.
ZAWADI ITATOLEWA.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...