CHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimesherehekea miaka kumi (10) tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005, (2005 - 2015). Maadhimisho hayo yameenda sambamba na mahafali ya Nane katika chuo hicho(2008 - 2015) mahafari yaliyofanyika katika chuo hicho Novemba 14,2015.

Mahafali hayo yalihudhuriwa na Mgeni rasmi,  Profesa Dkt. Fadzil Adam, Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislam cha Morogoro na  mtafiti wa chuo kikuu cha Zanzibar (SZA),wa Nchini Malaysia Kuala Teregganu, Mkuu wa chuo hicho Hajjat Mwantum Mlale, Mkuu wa chuo kikuu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro (MUM), Profesa Hamza Mustafa Njozi, pamoja na Mwenyekiti Baraza la chuo hicho Profesa Bakari Lembariti.

Mahafari yalifanyika katika chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro (MUM) mwishoni mwa wiki Novemba 14 mwaka huu.
CHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM)kimesherehekea miaka kumi (10) tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005 - 2015, maadhimisho hayo yameenda sambamba na mahafari ya Nane ya chuo hicho,(2008 - 2015).
Mkuu wa kitengo cha masomo ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM), Salim Said Ali (aliyesimama) akiwakaribisha wageni katika Mahafari yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) Novemba 14,2015.
 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) akivaa Kofia mara baada ya kutunukiwa kufunzu masomo yao katika mahafari ya nane ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo Novemba 14,2015.
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa chuo hicho katika mahafari ya nane kumalizika yalifanyika chuoni hapo mkoani morogoro Novemba 14,2015.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...