THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

BALOZI MAHIGA AUZUNGUMZIA MGOGORO WA UTURUKI NA UNAVYOHUSISHWA NA SHULE ZA FEZA


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Upinzani kila nchi huitwa magaidi. Hata ukawa ni magaidi hapa tz. Lakini ni shambulizi gani la kigaidi hawa ukawa wameganya?
  Balozi unawasifia waturuki hamna kitu hao. Ungesifia nchi za kweli zenye viwango kama ujerumani

 2. Simba Dume Anasema:

  Ndugu hujaijua ujerumani bado. Nadhani ukifuatilia historia ya TZ vizuri utaelewa hao ni nani. Mpaka sasa ujerumani ndio taifa pekee lililokaidi kutambua mchango wake katika kumaskinisha makoloni yake kwa kukalia nyaraka zote na makusanyo ya vitu na vito vya makoloni hayo. Koloni lao kuu lilikuwa Tanganyika na wanavitu vinavyotumika kiuchumi hata sasa zaidi ya 200000. Moja wapo ni mabaki ya dinosour pekee duniani. Cultural objects za wangoni, wachaga, wanyamwezi na wahehe zimejaa ktk makumbusho zao zinaingiza mamilioni. Waturuki wapo sahihi tuwasikilize na hizo shule tuzifunge. Baba akikwambia mwanae mwizi wewe jirani ukimpinga basi ujue una tatizo la akili unahitaji uthibitisho wa daktari tu ili umma uchukue tahadhar nawe...

 3. MtaZAmo ChaNYa Anasema:

  Waziri hizo tuhuma hatuwezi kuzipuzaa tusisubiri kuletewa ushahidi sisi tuna vijana wetu wapo compitent kwenye upelelezi tuanze wenyewe kama ulivyomuagiza muwakilishi kwenda ANKARA. Halafu kwa ushauri wa bure kwa taifa fatilieni harakati za hawa MASUFI wa kituruki duniani kote mtagundua kitu kuhusu hizi tuhuma zilizotajwa kuhusu hawaa mabwana.

 4. MtaZAmo ChaNYa Anasema:

  Serekali tuzilipuuze hili sisi tunao vijana wapo compitent kwenye upelelezi waanze kazi mara moja. Na kwa kuwasaidia hebu fuatilieni harakati za hawa masufi wa kituruki duniani kote mtagundua kitu kuhusu hizi tuhuma zinazotolewa na serekali ya INSTANMBUL na hata hapa TZ kuna vijiharakati wanavifanya kwa kupitia mgongo wa mashule yao hayo ya Feza lakini malengo yote yanaelekezwa kule Instambul. Kwenye tuhuma hizi uturuki hawajakurupuka kabisaaaaaaaaaaasaaaa.