Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza
ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(katikati), katika kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za
Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la
kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.Wa kwanza mkono wa
kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Mtendaji wa baraza ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani , Mohamed Mpinga. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar
es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Henry Bantu, akizungumza wakati wa
kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa
rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi
ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani nchini ambae pia ni Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao
cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi
mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo
mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ASP Deus Sokoni, akizungumza wakati wa
kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani, ambao ulizinduliwa
rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi
ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es
Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...