THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Breaking nyuzzzz: Rais wa Zamani wa Zanzibar afariki Dunia leo, Rais Dkt. Magufuli atuma salamu za rambirambi

Taarifa iliyotufikia mchana huu, inaeleza kuwa  kuwa Rais wa awamu ya pili wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa na umri wa miaka 96.
Mzee Aboud Jumbe amefikwa na mauti hayo nyumbani kwake Kigamboni, Jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri wa Muungano amemtumia Salaam za rambirambi Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kwa msiba huu mzito


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Poleni wafiwa mnapoomboleza kifo cha mzee huyu aliyewahi kuongoza Zanzibar

  2. Anonymous Anasema:

    RIP Mzee Aboud, Polen sana familia pamoja na Taifa kwa ujumla kwa msiba huuu.

    Swali tu, tukisema Serikali haina dini kwa maana ya imani; mbona barua toka Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu imeweka maneno ya Inna lilahi wa inna ilaihi rajiun? Je nimekosea au wamekosea? Ni swali jema tu na ningependa kuelimishwa toka kwa wataalam na wajuzi wa haya mambo (Protocol).

    Asante