THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

BREAKING: US BLOGGER AIBUKA, AMSAKA JOHN MASHAKA KWA UDI NA UVUMBA

Ankal Wasalaam,
 Wadau wote wa Blogu ya jamii, natumai mu wa wazima wa Kheri. Mimi mzima, na naendelea na kazi yangu ya u professor, nikifundisha masomo ya “Political Economics” hapa nchini Uingereza. Hii ni baada ya kumaliza Phd yangu pale Oxford University mwaka 2014 ambako nilikuwa Mwafrika wa kwanza kuvunja rekodi kwa kuandika thesis iliyokubalika na vyuo vikuu vikubwa duniani. Nadhani wasomi wengi wa hii blogu wananifahamu vizuri sana, kwa sababu bila mimi, hata John Mashaka asingeupata umaarufu alioupata. 
Niseme kwa kifupi nilimjenga John Mashaka, kwa kumsaidia sana kwenye utafiti kipindi akiwa chuo kikuu. Ingawa kila mtu ana kipaji chake cha kuzaliwa, ambayo nakiri kwamba Ndugu John anacho na ni Genius, ila pia lazima asaidiwe. Nimemsaidia mimi. Niko tayari zaidi kwenda kumsaidia Dr. Magufuli kujenga uchumi wa Tanzania.
Pamoja na wadau wengine, naungana nanyi kumuita John Mashaka atoke mafichoni na kurudi kwenye hii blogu ili mijadala ya kisomi iendelee. Nadhani Tanzania kama taifa hipo katika kipindi kigumu. Kipindo cha mpito ambapo mawazo chanya kama yangu, John Mashaka na genge lake wanaweza kuchangia. Nikiwa Professor anayeheshimika dunia nzima, kushirikiana na wakina Ndugu John Mashaka Hildebrand Shayo na wengineo kutawasaidia hata wao kukua zaidi na kujulikana kimataifa, licha ya kuleta mawazo chanya na mbadala katika ujenzi wa taifa letu.
Niko tayari kuendeleza mijadala ikiwa John Mashaka atajitokeza

Wenu katika Ujenzi Wa Taifa
Prof. US-Blogger, Bsc, Msc, PhD (Oxford)
Oxford University, Department of Economics
Political Economics
London, United Kingdom


Kuna Maoni 20 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  This is the most boastful fellow I have ever come across. US globber wewe ni kiatu na limbukeni mkubwa. So full of your self.

 2. Anonymous Anasema:

  Heti niko tayari kwenda kumsaidia Rais Magufuli? Kijana ukitaka kuomba kazi, omba Kwa ustaarabu usitumie majina ya wengine. Hii ndio kawaida yako wasomi uchwata wa kuafrika. Heti Prof Dr. MSc. Bsc...hahahahaha. kazi kweli kweli. Job true true

 3. Anonymous Anasema:

  Ankal
  Is this man real, or is this just a piece you wrote up to wind us up.
  If he is flesh and blood then he just forgot to add another degree to his list,,SDP...I will explain later.He is so full of himself, the way I read it he nearly claimed he created the other person.He thinks he can help the president to sort out Bongos problems by just a wave of his magical academic wand. Grow up.
  SDP stands for Self Deluded P..

 4. mkereketwa Anasema:

  Kwa kusoma hicho ulichokiandika ninama-shaka na u-professor wako. Kama ulimsaidia John Mashaka what is the big deal? Wewe leta hoja na si kujipiga kifua. Kama huko vizuri wewe peleka CV kwa JPM kwani longo longo za kupitia mlango wa uwani sasa hakuna

 5. ali said Anasema:

  Huna jina ? weka jina lako ,,naona umejisifia sana mwenyewe ,,,weka jina tukujue ,,,Prof ,,Misifa

 6. Eatv News Anasema:

  naomba mawasiliano yako ya simu Prof, pia Mr.John Mashaka naomba mawasiliano yako

 7. Anonymous Anasema:

  Huyu US blogger ni mtu wa majigambo sana. Kama.kweli Ana uwezo wa kuchambua mada, nashauri ajikite mwenyewe kuliko kutumia mgongo wa John Mashaka, ili tujue mbivu na mbichi. Hizi ni tabia za kitanzania Heti Prof. Dr. Bsc. MSc, PhD. Sick fellow

 8. Anonymous Anasema:

  Ankal, Huyu US blogger ni mgonjwa wa akili. Ila naona jina la John Mashaka ni dili watu wanataka walitumie kwenye hii blogu ili watoke nayo

 9. Anonymous Anasema:

  SDP
  the P stands for prick, and look it up in crowdsourced dictionary not your fanciful Oxford Dictionary

 10. Anonymous Anasema:

  Saa nyingine kichaa kaanzisha mjadala na sisi tunamjibu. Never argue with a fool No one will notice a difference. Alex bura dar.

 11. Me nadhani nia ya huyu bwana mkubwa sio kujikweza bali ni kaamua kutumia fasihi vyema.so hii yote ni furahisha baraza tu na wala tusiichukulie u serious wowote bwna mkubwa huyu kaamua kutufurahisha tu

 12. Anonymous Anasema:

  Ankal achana na hawa wazushi maprof. uchwara.

 13. Anonymous Anasema:

  Ujinga tu, uprofessor gani ulionao wewe, WEKA JINA LAKO TUONE KAMA WEWE NI PROFESA MAARUFU...
  ANKAL nakushauri usi publish barua za wajinga kama hawa kwenye blog yako. chonde chonde

 14. Anonymous Anasema:

  US Blogger, I can pity you saying that you assisted John Mashaka. The guy is in another leagues, and cannot comprehend you helping him, maybe it is the other way around. He helped you to copy and and paste your PhD thesis.

  You are full of yourself. You are reflect the majority of much know, with nothing to show for. Sad case study. You are nothing compared to John Mashaka for the blog readers who know both of you. By the way, are you a human being or an animal?

 15. Anonymous Anasema:

  Ankal
  Can anyone explain to me why this man attracts such venomous attacks, that is above and beyond his obvious over inflated self-importance. He is a jerk but kama waswahili wasemavyo, pia ana damu ya kunguni

 16. Anonymous Anasema:

  Nijuavyo mimi Oxford University iko Oxford sio London. Angalia anuwani yake Inanikumbusha shangazi yangu masikini aliyeniletea barua kwa anuwani yangu na kumalizia Glasgow, London, UK. Barua hiyo niliipata

 17. Frank Makomba Anasema:

  Leave this US blogger alone. Going thru the 2014 Oxf.graduates, he is even not there.
  I think he is a "Hewa professor" ......look!!! Still he want to work with JPM.

 18. Anonymous Anasema:

  JAMANI HUYU MTU KAWACHEMSHA TU..ALIKUWA AKIWAPIMA. .SASA ATAKUWA KAPATA JIBU LA WADAU WA MICHUZI WANAJAZBAH JUU KIASI GANI..THE GUY WASN'T EVEN SERIOUS. .KAMA HIVYO ANGETOA JINA LAKE.....CHECK KWANZA ALIVYOPANGA SENTENCE ZAKE..KWA UCHOKOZI...PUNGUZENI JAZBAH..KILA MTU ANAUHURU WA KUONGEA. .

 19. Kadala Anasema:

  Huyu jamaa alieleta hii article ni genius, alikuwa anafanya research kwa kupima vichwa vya wabongo, mpaka hapa kagundua kuwa vingi ni koroma, waliojibu juu wote wamejawa mapovu, hata jina hakuweka wewe unahamaki unaemkasirikia ni nani?

 20. Anonymous Anasema:

  Mimi siamini kabisa kama kuna kitu kinachoitwa UHURU WA KUONGEA ama uhuru wa maoni yaani FREEDOM OF SPEECH, yaani total freedom ya mtu kusema chochote kile na wakati wowote ule, without restrictions without boundaries.Kama huniamini try this:
  Nenda Kariokoo na mwambie binti yeyote yule kuwa ameumbwa vibaya katika makalio yake,its free speech, lakini atakupiga kofi
  Nenda pale nje ya posta na upige kelele kama ungekuwa na bunduki ungewa....utakapopata fahamu tena, utajikuta una pingu na uko Ukonga
  So lets find another way of describing this freedom.