THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

JESHI LA POLISI LAPIGA MATIZI YA UTAYARI WA KUKABILIANA NA MATUKIO YA UHALIFU NA WAHALIFU NCHINI

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Eh ! bwana eh akina ras makunja long time atujawaona katika blogu ya jamii sasa naona wako tayari tayari kwa yeyote atakayehitaji kuche muziki naona magitaa mkononi ...sasa wale wanao jidai oh tutacheza nao jamani jamani kina ras makunja aanaga kuremba remba

 2. Anonymous Anasema:

  kina ras makunja wazee wa sebene kali aka wazee muziki munene ukututa mpo???

 3. Anonymous Anasema:

  Salam ziwafikie wanashika ukuta :) chezea kina RAS MAKUNJA.

 4. Anonymous Anasema:

  WASHIKA UKUTA AKINA RAS MAKUNJA MMEWAONA HAO ? SASA KAMA MNATAKA MUZIKI WA BONGO TAMBARARE HAYA KAZI KWENU?

 5. Anonymous Anasema:

  CCM NI CHAMA CHENYE WANACHAMA WENGI HAPA TZ

 6. Anonymous Anasema:

  TEh Teh Teh , ole wao washika ukuta !

 7. Anonymous Anasema:

  Mpaka hapo ukuta mpoo!!