Bosi wa Jemba FM ya jijini Mwanza Dkt Sebastian Ndege (kati mbele) akiwa na sehemu ya  kikosi kazi cha kituo hicho cha redio kinachoteka mawimbi yote ya kanda ya ziwa kwa utangazaji uliotukuka. Globu ya Jamii inatoa saluti kwa Jemba FM kwa weledi wake na pia kwa ushirikiano wa kikazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...