THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MTAA KWA MTAA NA DARAJA LA TRENI SWAYA JIJINI MBEYA.


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:    Michuzi naomba mpe tuisheni kijana wako ... Tazara haikujengwa na wakoloni. Ilijengwa na Serikali ya Tanzania (sio Tanganyika) chini ya rais Mwalimu Nyerere kwa msaada wa watu wa China.

  2. HK Anasema:

    Nadhani huyo ni George Chicken na siyo George 'Chicken Meat', tukitaka kutafsiri kama ndugu mtangazaji ulivyotafsiri wewe hilo jina lake. Hapo kuna tofauti kati ya 'Chicken' na 'Chicken Meat' (Kuku na Nyama ya Kuku).