THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MRISHO GAMBO KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa kwanza (kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa  na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo wa kwanza (kushoto).
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na IKULU. KWA PICHA ZAIDI OFYA HAPA.


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Tunaomba Ikulu washauriwe Mhe Rais anapopiga picha wale wapambe kule nyuma wasiwepo. Duniani kote hiyo ndiyo protokali isipokuwa Magogoni na Chamwino!

  2. Anonymous Anasema:

    Ushauri mzuri,ila hakuna madhara yoyote kwa watanzania kuwa na utaratibu wetu wenyewe. Thanks but no thanks mdau

  3. Anonymous Anasema:

    Annony na 1 you are right. But if you thought all Tanzanians are a people that can teke advise kindly, think again. Annony no 2 is typical of the imprudence, stubbornness and sheer obstinacy of some of our people. I would not be surprised if annony number 2 is not in government. They are unwilling to learn anything new even when admittedly they see the better side of an view or perspective being presented. Theirs is "ujuzi hauzeeeki." You can't beat such fools. The advise I would offer is don't argue with them. Remember the adage; Don't argue with a fool, people might not notice the difference!