Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora imetoa orodha ya majina ya Taasisi ambazo hazijawasilisha Taarifa ya Watumishi Hewa katika Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora. Serikali imetoa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha ambayo ni 26 Agosti, 2016.
Mara baada ya tarehe hiyo, Ofisi ya Rais-Utumishi itawasilisha taarifa rasmi ya watumishi hewa kwa Mheshimiwa Rais ikiwa na orodha na majina ya Taasisi ambazo zimewasilisha taarifa ya watumishi hewa na na zile ambazo hazijawasilisha taarifa hizo.
Ifuatyo ndio orodha ya Taasisi hizo:-
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...