THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Usikose kipindi hiki maalum, "SAFARI YA DODOMA" kila Jumatano saa 3:00 usiku TBC1

TBC inakuletea kipindi kipya maalum ambacho kitawakutanisha wadau mbalimbali wakijadiliana na kuongelea umuhimu wa kuhamia Makao Makuu Dodoma, kama ilivyoagizwa na Mhe Rais John Pombe Magufuli.

Kutana na Marin Hassan Marin katika kipindi hiki, kitakachoanza Jumatano, tarehe 10 August 2016 na kuendelea kila siku ya jumatano saa 3:00 usiku TBC1, akikukutanisha watu mbalimbali katika kuchambua uamuzi huu muhimu wa kuhamia Makao Makuu Dodoma.

Kutakuwa na maswali mbalimbali ambayo watazamaji watashiriki kuyajibu, na mshindi atajipatia zawadi kem kem.


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Frank Makomba Anasema:

  Na tunaoishi nje tutawewza toa maoni yetu??

 2. Anonymous Anasema:

  umeshasema unaishi nje, vipi wewe!

 3. HK Anasema:

  Nadhani nlivyomuelewa mie mdau wa mwanzo hapo juu, itakuwa kakusudia japokuwa kuna waliyopo nje na ikatokea wana access ya kuki view hicho kipindi, je, na wao katika utoaji ama uchangiaji wa maoni yao juu ya mada husika, iwe kwa njia moja ama nyingine, wanaweza kuruhusika kufanya hivyo au kuna exclussive yeyote kwa waliyopo nje? Ila kama na mie ntakuwa sijakuelewa vizuri basi utaniwia radhi mdau uliyeuliza suali hilo hapo juu.

 4. Anonymous Anasema:

  Unaweza kutoa maoni kwenye namba za WhatsApp 0678 279 107, au sms unaandika neno DODOMA unaacha nafasi kisha andika maoni au ujumbe wako, halafu unatuma kwenda namba 15559