THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WATANZANIA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KUONA KUPATWA KWA JUA LUJEWA MKOANI MBEYA.

WATANZANIA waaswa kuhamasika kwa wingi kwenda Lujewa Mkoani Mbeya kuona kupatwa kwa jua mkoani humo.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, amesema kuwa tukio hili hotokea kwa nadra sana mkoani humo.

Amesema kuwa watalii wa mataifa mengine wajitokeze kwa wiki kwenda kushuhudia tukio hilo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kuhusiana na watanzania wajitokeze eneo ambalo litapatwa na jua Lujewa Mkoano Mbeya. Amesema kuwa Tukio hilo hutokea kwa nadra sana hapa nchini sasa ni wakati wa watanzania kuona tukio hilo la kupatwa kwa jua. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko katika bodi ya Utalii(TTB) na kushoto ni Afisa Masoko wa Bodi ya Utalii(TTB)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga akizungumza na kusisitiza watanzania na watalii mbalimbali kujitokeza kwa wingi zaidi kwenda kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Lujewa Mkoani Mbeya.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Mbona story haielezi hilo tukio litakuwa lini? Mtu ataenda tu Lujewa hata kesho??? Naomba muwaulize TTB kisha muweke tarehe ya tukio halisi.
    Thnx.

  2. Anonymous Anasema:

    Ni tarehe 28 kesho I think so