THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WATENGENEZA MATOFALI MKOANI ARUSHA WAPEWA MAFUNZO.

 Mhandisi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Emmanuel Owoya (Wapili kulia) akitoa mafunzo  kuhusu hatua mbalimbali za utengenezaji wa matofali bora kwa watengeneza matofali wa maeneo mbalimbali mkoani Arusha hivi karibuni. Walifundishwa pia masuala ya usalama wao mahali pakazi na kukabidhiwa vitendea kazi mbalimbali.
Mhandisi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Emmanuel Owoya (kulia) akitoa maelekezo kwa kuloweka tofali kwenye maji kwa Watengeneza matofali hao pia walifundwa namna bora ya matumizi ya vifaa vinavyotumika kujikinga na madhara mbalimbali yanayoweza kujitokeza wakiwa kazini. 

Wakati wa mafunzo hayo ilielezwa kuwa moja ya sababu inayopeleka majengo mengi kuanguka yakiwa katika hatua za ujenzi ni matumizi yasiyo sahihi katika uchanganyaji wa saruji na mchanga katika utengenezaji wa matofali.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Emmanuel Owoya Anasema:

    Ni vizuri wauzaji watofali kujua matumizi bora ya sement au saruji ili kilinda mlaji katika ujenzi wa makazi bora na salama. Tunaipongeza Twiga cement kutoa mafunzo haya na liwe funzo kwa watengenezaji wa tpfali kufuata sheria za usalama na afya kazini.