TASWE SACCOS INAZIDI KUKULETEA FURSA.
TASWE inapenda kuwakaribisha katika halfa ya chakula cha jioni tarehe 10/09/2016 saa 11 jioni ukumbi wa Cardinal Rugambwa.
Madhumuni
ni kusherehekea mafanikio yetu waalikwa zaidi ya 300 watakuwepo pamoja
na Balozi mbalimbali, makampuni alikadhalika na banks. Mgeni rasmi
katika shughuli hii ni Dr. Reginald Mengi. Meza za biashara zitakuwepo
ili uweze kuonyesha na kuuza biashara yako na fursa nyingine kibao.
Tiketi zinapatikana kwenye ofisi za TASWE zilizopo oysterbay au piga namba 0655 629 400
Wahi sasa jipatie tiketi yako!!!!!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...