Mkuu wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya, SSP. Prosper Kinyaga akionesha sehemu ya eneo lenye ekari 26 linaloendesha Kilimo cha chai katika gereza hilo. Gereza hilo lilijengwa mwaka 1994 na shughuli zinazofanyika ni Kilimo cha chai, Kilimo cha Migomba, Bustani za mbogamboga pamoja na Utunzaji wa mazingira kwa upandaji miti na ufugaji wa samaki kwa majaribio.(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Wafungwa wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya wakivuna chai katika Shamba la Gereza hilo kama inavyoonekana katika picha.
Muonekano wa baadhi ya mashamba ya Kilimo cha chai katika Gereza Tukuyu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...