Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Tuzo ya Uongozi wa Kisiasa na Utetezi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Speak Up Afrika Bi Kate Campana, katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis New York Marekani. Tuzo hiyo ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani afya kwa kwa wanawake na watoto.
.Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kupokea Tuzo yake akirejea kwenye kiti chake
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza baada ya kukabidhiwa Tuzo yake na katika shukrani zake za kukubali Tuzo hiyo, amesema Tuzo hiyo ni kwa watoto wote wa Afrika ambao ndio wamemwezesha yeye kupata Tuzo .
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Hongera sana mh rais wetu mstaafu
ReplyDeleteHakika haya yote unastahili
Mungu akupe afya njema na umri mrefu ameeen
MKUU, ONGERA SANA, KWANI UTAKACHO PANDA NDICHO UTAKACHO VUNA, NA SASA HAYA NI MATUNDA YAKO,NA TANZANIA KWA UJUMLA MUNGU AKUBALIKI KWA YOTE, PUMZIKA KWA AMANI MKUU,USISAHAU NABII HAKUBALIWI KWAO.
ReplyDeleteDR, JAMESY