Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaidiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othaman kukata utepe wakati alipozindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania mjini Kibaha, Septemba 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua mjini Kibaha, Septemba 21, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Dkt. Hassison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande na Naibu Spika wa Bunge, Dkt Ackson Tulia.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa Nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird kitabu cha Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...