THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MBUNGE WA SIMANJIRO JAMES OLE MILYA AZINDUA MADARASA MANNE YA SHULE YA MSINGI EMBOREET MARA,SIMANJIRO

Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na  Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya  uzinduzi wa  madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.Picha na Woinde Shizza
Mbunge wa Simanjiro James Ole Milya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Emboreet mara baada ya kuzindua madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akiteta jambo na Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter katika uzinduzi wa  madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.PICHA NA WOINDE SHIZZA


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Thank you Mheshimiwa kwa mara ya kwanza toka uchaguzi mmefanya kitu kinachoeleweka