THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WATU TANO WANAODAIWA MAJAMBAZI WAKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha Bunduki aina ya Gobole kwawaandishi habari jijini Dar es Salaam.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha namba za usajili bandia zinazotumiwa na wahalifu pikipiki kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha namba za usajili bandia zinazotumiwa na wahalifu kwa pikipiki kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha magari yaliyoibiwa sehemu mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam 1 kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
                                          


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    SASA MBONA VITU VITAKAVYOTUMIKA KAMA USHAHIDI VINASHIKWA BILA HATA GLOVES.
    CRIME SCENE AND EVIDENCE HAS TO BE PROTECTED OTHERWISE IT IS TEMPERING WITH EVIDENCE.

  2. Anonymous Anasema:

    Wewe hapo ni bongo. Huko uliko mchangiaji sawa yaweza kuwa hivyo lakini hapa bongo hata ukikuta maiti shika tu no problem. Well come bongo.