THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Zijue Tofauti ya mitindo ya Karate na sanaa nyingine za mapambano za Japan


 Na Sensei Rumadha

Hapana  budi  bali ni furaha kuelimisha jamii ya wapenda karate na sanaa mbali mbali za mapambano na kujilinda zenye asili ya Japan. 
Ingawa ni vigumu kuchambua historia zake zote kiundani, bali muktasari wake unawezekana na kuipa jamii ya mapenzi ya hizi sanaa mpambazuko wa ufahamu kuhusu sanaa hizi za Kijapan. 
Katika mukhtasari huu, itaongelewa zile sanaa halisi ( original) au shina lake na siyo matawi ya baadhi ya sanaa hizi yaliyojitokeza baada ya waanzilishi kufa na wanafunzi kuanzaisha mitindo yao. 
Sanaa hizo ni: 
1.     JUDO 2. KENDO 3. AIKIDO 4. 
JUJITSU 5. KEMPO  6. KOBUDO 7. KARATE.