THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

AFP YAWAASA WANZANZIBAR KUWEKEZA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

 Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Said Soud Said akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.
 Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFPSaid Soud Said akifafanua jambo alipofanya mazungumzo na Waandishi wa Habari kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.kulia ni Mkuu wa Habari  Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Ramadhani Ali.

 -Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Said Soud Said  alipofanya mazungumzo nao kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.