THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

DC HANDENI,MH.GONDWE AZINDUA ZOEZI LA UMEZAJI DAWA ZA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA HALMASHAURI YA WILAYA HIYO

 Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe akizindua umezaji wa dawa za Kichocho  kwa kumpatia mmoja wa wanafunzi wa shule ya Mkumburu, kushoto ni mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Handeni, William Makufwe
 Dc Godwin Gondwe akinawa mikono kwa maji safi na salama tayari kwa kuzindua a umezaji dawa za kichocho katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni.
 Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe akizungumza na wanafunzi mambo mbalimbali mapema leo kabla ya kuzindua umezaji dawa za kichocho katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni.