Dear Michuzi,
kuna watu Tanzania wameanzisha kuhamasisha fedha kuhusiana na hii platform investment.  Hii ni aina nyingine ya Desi na nina wasiwasi wataliwa tena watu pesa zao.  hebu fanya kuwastua  wananchi, maana mie
baada ya kupewa taarifa ya kuingia kwenye hiyo scheme nikajaribu ku-google kwenye internet na nikapata hii taarifa.
Mdau Honolulu
-----------------------------------------
Paul D. Delacourt, Special Agent in Charge of the Honolulu Office of the Federal Bureau of Investigation (FBI), is warning the public about fraudulent activity commonly referred to as Platform Trading, Private Platform Programs (PPPs), Prime Bank Trading, or Medium-Term Note Trading Programs. In these schemes, perpetrators falsely represent their ability to offer above-average market returns with below-market risk through the trading of bank instruments. Offering such programs, or claiming to have connections to such programs, violates numerous federal criminal laws.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...