Rais wa Chama cha Wauguzi Tangania(TANNA) Paul Magesa akimkabidhi zawadi ya shukrani kwa kushiriki nao Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,WZee na Watoto.

Wakati watanzania wakiendelea kuchanga fedha na mahitaji mengine kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera,Wauguzi waliohudhuria mkutano huo nao walichanga kiasi cha shilingi 4,196,500/= na kumkabidhi Waziri Ummy Mwalimu ili afikishe mchango wao na pole kwa mkoa huo(picha na Catherine Sungura,WAMJW).

 Wauguzi toka mikoa mbalimbali nchini wakimsikiliza waziri wa afya wakati wa mkutano huo,ambapo kwenye hotuba yao waliomba kulipwa posho na malimbikizo ya sare za wauguzi kiasi cha shilingi 120,000/=

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...